a
Za 73:3
;
Mit 28:14
b
Za 37:1-4
;
Mit 24:14-20
Proverbs 23:17-18
17
a
Usiuruhusu moyo wako kuwaonea wivu wenye dhambi,
bali kila mara uwe na bidii katika kumcha
Bwana
.
18
b
Hakika kuna tumaini la baadaye kwa ajili yako,
nalo tarajio lako halitakatiliwa mbali.
Copyright information for
SwhNEN